Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelseaChinaJoao Cancelolukaku

Conte anataka kumrudisha Lukaku darajani,pia anamfuatilia Joao Cancelo.


Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Chelsea zinasema kua Meneja wa Chelsea Antonio Cote ameuambia uongozi wa klabu kua anamtaka mshambuliaji Romelu Lukaku wakati wa dirisha kubwa la usajili,ikumbukwe kua Conte aliwahi kuwaambia Chelsea kuhusu kumhitaji mshambuliaji huyo kabla ya msimu huu kuanza na bahati mbaya juhudi za Chelsea kumsajili hazikuzaa matunda hata hivyo Chelsea hawajapanga kumuuza au kumbadili Costa ila wanajihadhari ikiwa Costa atatimukia nchini China.Pia imeripotiwa Conte anamtaka beki wa Valencia Joao Cancelo ambaye pia anafukuziwa na klabu ya Barcelona na Real Madrid.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib