Climb the mountains
Kurt Zouma alikua tayari ameshaanza kupata namba ya kudumu katika kikosicha Chelsea kabla ya kupata majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa takribani mwaka moja hata hivyo nyota huyo kwa sasa ameaanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza akiaanza baadhi ya mechi na nyingine kuingia kama mchezaji wa akiba lakini kwake yeye anaona bado haitoshi kwani anataka kucheza mechi kubwa tena kwa dakika 90 kwani anaamini mpira ndio kazi yake hata hivyo nyota huyo alisema kwamba lazima atangulize mapenzi ya timu mbele hivyo mchezaji yoyote anayeanza na kufanya vizuri ina faida kwa timu nzima ila anaamini na yeye nafasi yake ya kua mchezaji wa kutegemewa itawadia.
Tags: Chelsea
, Kurt Zouma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment