Climb the mountains
ChelseaChelsea vs Manchester UnitedFA Cup 2016/17 QUARTER FINALFA Cup QUARTER FINALFA Cup QUARTER FINAL DRAWJose MourihnoJose Mourihno return Stamford BridgeManchester united
Ni Chelsea Vs Manchester United FA Cup.Atakayeshinda kutinga nusu fainali
Kombe la FA limekua la kuvutia sana msimu huu huku likileta matokeo yasiyotarajiwa kwa baadhi ya klabu za ligi kuu kulazimishwa sare/kufungwa na kutolewa na timu zisizoshiriki ligi kuu wala ligi daraja la kwanza. Baada ya matokeo ya mechi za jana FA walifanya droo kupata mechi za robo fainali huku klabu ya Chelsea ikipewa Manchester United na Chelsea atakua mwenyeji wa mechi hiyo hivyo watamkaribisha kocha wao wa zamani Jose Mourinho darajani kwa mara nyingine. Mara ya mwisho Man u alipokutana na Chelsea aliambulia kipigo cha magoli matatu kwa bila,ila hivi sasa itakua ni mechi ngumu kwa wote huku Chelsea akijaribu kuchukua makombe yote mawili yani FA na EPL,mshindi wa mechi hiyo atafuzu kucheza nusu fainali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment