Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

BarcelonaBirthday partyChelseaNeymarWillian

Willian moja wa mastaa waliohudhuria birthday party ya Neymar.


Winga wa Chelsea Willian alikua moja ya mastaa wa mpira waliohudhuria sherehe ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya nyota wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Neymar iliyofanyika katika mji wa Barcelona nyumbani kwa nyota huyo. Neymar aliwaalika nyota mbalimbali kutoka klabu ya Barcelona na nyota wenzake wa nchini Brazil,hata hivyo nyota huyo amekua na msimu mbaya uwanjani kwani amefunga magoli matano tuu msimu huu. Katika sherehe hiyo Neymar alikua akitimiza miaka 25.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib