Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelseaJose MourinhoManchester united

Mourinho: Nilitumia mbinu anazotumia Conte nikiwa Chelsea zilifanikiwa lakini sikusifiwa kama Conte.


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho akiongea na vyombo vya habari alisema kua wakati akifundisha Chelsea kwa awamu zote amekua akitumia mbinu zinazotumiwa na Antonio Conte akimaanisha mpira wa kujilinda na mshambulizi ya kushtukiza. Aliendelea kusema kua mbinu hizo zilikua zikifanikiwa sana hata kuiwezesha klabu hiyo kushinda mataji kadhaa hata hivyo alisema hakuwahi kusifiwa kama kocha wa sasa Antonio Conte anavyopewa sifa na watu wote kuanzia vyombo vya habari,wachambuzi wa soka mpaka mashabiki. Jose Mourihno kwa sasa anafanya kila jitihada kuhakikisha kua klabu yake inafuzu kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib