Klabu ya Chelsea hawapo tayari kumuona kocha aliyeipatia uhai klabu yao akiondoka darajani msimu unaokuja kwani klabu ya Inter Milan wameweka wazi kua wanamuhitaji Antonio Conte na wakiwa tayari kuwapa Chelsea paundi milioni 60 ili wawaachie kocha huyo ila. Antonio Conte alisaini mkataba mpya mwezi wa kwanza na sasa Chelsea wanajiandaa kumpa mkataba mwingine zikiwa ni juhudi za kuwaonyesha Inter Milan kuwa hawapo tayari kufanya hiyo biashara,mkataba mpya wanaotaka kumpa Conte una dhamani ya paundi milioni 8 kwa mwaka mara mbili na nusu ya ule wa awali.Conte ameopatia klabu ya Chelsea mafanikio makubwa hasa katika kuibadilisha timu ambayo msimu uluopita ilikua inasuasua na kuambulia kumaliza nafasi ya 10 kwenye ligi lakini kwa sasa Chelsea wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama 10. Kocha Conte yeye mwenyewe alishaweka wazi kua anafuraha kua Chelsea na hafikirii kuondoka kwani familia yake ambayo bado ipo nchini Italia wanakamilisha taratibu na vibali vya kuhamia London,Uingereza.
Climb the mountains
Antonio ConteAntonio Conte new ContractChelseaInter MilanInter Milan want Conte
Baada ya Inter Milan kuweka wazi wanamhitaji Conte msimu ujao sasa Chelsea wajiandaa kumpa mkataba mpya. Atavunja rekodi ya kusaini mikataba miwili ndani ya miezi.
Klabu ya Chelsea hawapo tayari kumuona kocha aliyeipatia uhai klabu yao akiondoka darajani msimu unaokuja kwani klabu ya Inter Milan wameweka wazi kua wanamuhitaji Antonio Conte na wakiwa tayari kuwapa Chelsea paundi milioni 60 ili wawaachie kocha huyo ila. Antonio Conte alisaini mkataba mpya mwezi wa kwanza na sasa Chelsea wanajiandaa kumpa mkataba mwingine zikiwa ni juhudi za kuwaonyesha Inter Milan kuwa hawapo tayari kufanya hiyo biashara,mkataba mpya wanaotaka kumpa Conte una dhamani ya paundi milioni 8 kwa mwaka mara mbili na nusu ya ule wa awali.Conte ameopatia klabu ya Chelsea mafanikio makubwa hasa katika kuibadilisha timu ambayo msimu uluopita ilikua inasuasua na kuambulia kumaliza nafasi ya 10 kwenye ligi lakini kwa sasa Chelsea wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama 10. Kocha Conte yeye mwenyewe alishaweka wazi kua anafuraha kua Chelsea na hafikirii kuondoka kwani familia yake ambayo bado ipo nchini Italia wanakamilisha taratibu na vibali vya kuhamia London,Uingereza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment