Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEden HazardWillianWillian new haircurt

Eden Hazard awaonyesha mashabiki Staili mpya ya nywele za Willian. Ameachana na Afro rasmi


Winga Willian ameachana rasmi na staili yake ya afro ambayo ndiyo ilikua ikimtambulisha kirahisi kwa mashabiki wote wa soka na sasa amekuja na staili mpya ya kuzisuka nywele zake,huku mbeligiji Eden Hzard akiwa wa kwanza kuwaonyesha mashabiki muonekano mpya wa nyota wao.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib