Climb the mountains
ChelseaChelsea new stadiumLondon MayorRoman AbramovichSadiq KhanWembley
Meya wa London aidhinisha rasmi ujenzi wa Stamford Bridge asema uwanja mpya utakua "ALMASI YA LONDON".
Meya wa jiji la Uingereza Bwana Sadiq Khan ametoa idhini yake kwa Chelsea kuanza ujenzi wa uwanja wao ambao utakua na uwezo wa kuchuku watu elfu 60 waliokaa, wakati akitoa ruhusa hiyo Meya Khan alisema kua uwanja huo utakua moja ya vivutio vikubwa katika mji wake kwa mashabiki wa soka kutoka sehemu mbali mbali duniani na anaamini pia utakua kivutio kwa watalii. Uwanja huo ambao utagharimu paundi milioni 500 ambazo zote zitatolewa na mmiliki wa klabu hiyo Mr Roman Abramovich. Wakati uwanja huo ukijengwa Chelsea wamekiomba chama cha soka nchini Uingereza FA kuwaruhusu kwenda kuchezea mechi zao katika uwanja wa Wembley mpaka ujenzi wa uwanja wao utakapo kamilika.
Tags: Chelsea
, Chelsea new stadium
, London Mayor
, Roman Abramovich
, Sadiq Khan
, Wembley
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment