Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

£350000 Car000 Rolls RoyceLukaku £350Lukaku CarsLukaku to ChelseaRoyce Phantom Couple

Baada ya kukataa kuongeza mkataba mpya Lukaku aingia mazoezi na gari lenye thamani ya milioni 900(PICHA).



Siku ya jana mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku aliwaambia mabosi wake kua hataongeza mkataba mwingine na anategemea kuondoka kwenda kwenye timu iinayocheza ligi ya mabingwa huku tetesi zikianza kumuhusisha kua anataka kurudi Chelsea. Ukiachana na masuala yake ya mkataba na klabu yake Lukaku ameingia katika vichwa vya habari leo asubuhi baada ya kuwasili mazoezi na gari aina la Rolls Royce Phantom Couple lenye thamani ya £350,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania 954118147.50 (Milioni 950). Klabu yake ya Everton walikua tayari kumlimpa mshahara wa £100,000 kwa wiki.




No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib