Climb the mountains
ChelseaChelsea want Jese LingardJese LingardManchester united
Chelsea kushindana na Arsenal kuipata sahihi ya winga wa Manchester United.
Klabu ya Chelsea wamejitupa katika vita ya kujaribu kumsajili winga wa Manchester United Jese Lingard, Conte anatajwa kua shabiki mkubwa sana wa winga huyo na inasemekana angependa kumchezesha kama Wing-back kama atafanikiwa kumnunua. Lingard alicheza vizuri wakati Louis van Gal alipokuwa kocha wa Manchester United ila amekua akipata wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha Jose Mourihno,Muingereza huyo amebakisha mwaka moja tuu kwenye mkataba wake anaweza kuondoka kama mchezaji huru mwisho wa msimu wa mwaka 2017/18 kama Man u hawatamuuza na kumuongezea mkataba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment