Mechi iliyokua ikisubiriwa sana na wapenzi wasoka ulimwenguni iliisha kwa Chelsea kutoka kifua mbele kwa ushindi wa goli moja goli lao likifungwa na N'golo Kante. Kwa ushindi wa jana Chelsea anafuzu kwenda nusu fainali huku wakimvua ubingwa wa FA klabu ya Manchester United. Manchester walianza mpira kwa kasi wakijaribu kuwashinikiza mabeki wa Chelsea hadi dakika ya 55 mchezaji wao Andre Hererra alipopewa kadi nyekundu,kuanzia hapo Chelsea walitawala mchezo kitu kilichomfanya kipa wa Man U De Gea kufanya kazi ya ziadi kuzuia michomo mikali ya Chelsea.
Vikosi vya timu zote mbili
Chelsea 1-0 Manchester United (FT)
N'Golo Kante 51'.
Ander Herrera (MUN) sent-off 35'.
Lineups: CHE—Courtois, Azpilicueta, David Luiz, Cahill, Moses, Kante, Matic, Alonso, Willian, Diego Costa, Hazard.
MUN—De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Rojo, Darmian, Herrera, Pogba, Young, Mkhitaryan, Rashford.
No comments:
Post a Comment