Climb the mountains
Antonio ConteChelseaChelsea transfer budget
Conte awaomba mabosi wa Chelsea wampe paundi milioni 200 za kufanyia usajili wakati wa dirisha kubwa.
Kocha wa Chelsea ambaye amefanya vizuri msimu huu akiisaidia timu yake kuwa vinara wa ligi kuu na kua na asilimia kubwa za kua mabingwa amewaomba mabosi wa Chelsea wampatie fedha paundi milioni 200 kwa ajiri ya kufanikisha usajili wa wachezaji anawaowahitaji kwenye kikosi chake. Conte ameiwezesha Chelsea kufanya vizuri katika msimu wake wa kwanza licha ya kuwa kosa baadhi ya wachezaji aliokua akiwataka kama Alvaro Morata,Vidal,Lukaku na Koulibay. Kitendo cha Conte kuomba kiasi hicho cha fedha kina tafsiriwa kama kujiandaa na ligi ya mabingwa ulaya msimu ujao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment