Wakati hata dirisha la Usajili wa wachezaji barani ulaya halijafunguliwa lakini hii inaweza kua ni moja ya habari sana kwa mashabiki wa Chelsea baada ya klabu yao kufikia makubaliano ya kumsajili kiungo mdogo mwenye miaka 22 tuu na mwenye uwezo wa hali ya juu ambaye alikua anawindwa na klabu zote kubwa barani ulaya Tiemoue Bakayoko kwa ada ya paundi milioni 35 na atasaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Chelsea. Kwa sasa Bakayoko anaichezea timu ya Monaco na amekua moja ya wachezaji waliokua na mchango mkubwa sana katika kikosi hicho cha Monaco msimu huu hasa katika ligi ya mabingwa ya Ulaya.
Climb the mountains
BakayokoBakayoko to ChelseaChelsea kumsajili BakayokoMonacoTiemoue Bakayoko
Chelsea wafikia makubaliano kumsajili Bakayoko kwa ada ya pundi milioni 35
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment