Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Billy GilmourChelsea kumsajili Billy GilmourrangerswonderkidsWonderkind

Chelsea wawapiku Bayern Munich,Barcelona na Arsenal kwenye usajili wa chipukizi wa Rangers Billy Gilmour.


Akiwa na miaka 15 tuu kinda wa Rangers Fc alijikuta ni moja ya wachezaji anayehitajika sana barani ulaya huku klabu kama Bayern Munich,Barcelona ,Manchester United na City zikijaribu kuishawishi Rangers iwauzie mchezaji huyo pia zikijabribu kuwashawishi wazazi wa kinda huyo waongee na mtoto wao ajiunge na klabu zao katika kinyang'anyiro hicho klabu ya Chelsea haikua ikichezambali kwani nao walikua wakijaribu kumsajili nyota huyo lakini waliambiwa nyota huyo hatauzwa kwani amepanga kucheza soka la kulipwa katika klabu hiyo ya Rangers. Ila baada ya muda kabu ya Chelsea ilipata taarifa kua wanaweza kumsajili kinda huyo kwani yeye binafsi amechagua Chelsea kama chaguo lake la kwanza anaamini ni sehemu sahihi ya kuendeleza kipaji chake cha soka.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib