Climb the mountains
Antonio GriezmannAtletico MadridChelseaManchester united
Chelsea wajiunga kwenye mbio za kumsajili Antonio Griezmann
Chelsea wameingia katika vita na klabu ya Manchester United wakichuana kuipata sahihi ya forward wa Atletico Madrid Antonio Griezmann. Kabla ya Chelsea kuanza kumfukuzia nyota huyo klabu ya Manchester United ndio ilikua klabu pekee iliyokua ikimfukuzia nyota huyo ila sasa itawabidi kuwashinda Chelsea kuhakikisha wanampata nyota huyo. Hata hivyo kwa klabu yoyote itakayofanikiwa kumsajili nyota huyo haitakua kazi rahisi kwani itahitajika kulipa paundi milioni 86 ili kumnunua mchezaji huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment