Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEden HazardHazard to Real madrid

Magazeti ya Hispania yanadai Eden Hazard amekubali kujiunga na Real Madrid msimu ujao na tayari ameshanunua nyumba katika mji wa Madrid.


Mapema wiki hii wakala wa Eden Hazard alikutana na viongozi wa klabu ya Real Madrid kuzungumzia uwezekano wa klabu hiyo kumsajili mteja wake ambaye anaichezea klabu ya Chelsea na mapema hivi leo tetesi zilianza kuenea kwenye mitandao kua nyota huyo amekubali kujiunga na klabu ya Real Madrid hivyo kilichobaki ni Madrid kuongea na Chelsea kuhusu kiasi wanachohitaji ili kumuachia nyota huyo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib