Eden Hazard vs Man United:
99% pass accuracy
98 touches
72 passes
7 dribbles
6 times fouled
3 shots
Kocha wa Chelsea Antonio Conte aliweka wazi kua amechukizwa na mbinu alizotumia Jose Mourihno kumzuia winga Eden Hazard alisema "Tulivyoanza dakika 25 za mwanzo tukitaka kucheza mpira wa kushambulia lakini tulishindwa sababu Eden HAzard alikua akichezewa rafu mbaya, unapokutana na mchezaji mwenye kiwango kikubwa kama Eden Hazard unawaagiza wachezaji wako wamzuie asipate mipira, pia ilikua ni kazi ya refa kumlinda Eden Hzard kwani ni mchezji aliyechezewa rafu nyingi sana kwenye ligi" Conte pia hakusita kumsifia Eden Hazrd kua ni shujaa kuchezewa rafu hakumfanya atoke nje ya mchezo akisema Eden Hazard ameuonyesha ulimwengu kua yeye ni mchezaji mkubwa"



No comments:
Post a Comment