Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Golo KanteKing Power StadiumLeicester CityNUEFA

N'Golo Kante aenda kuiangalia Leicester ikifuzu robo fainali UEFA.


Jana N'Golo Kante alirudi King Power Stadium kuiangalia timu yake ya zamani Leicester ikifuzu hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa Ulaya. Leicester walikua wakicheza na Sevilla walifuzu kwenda robo fainali kwa ushindi wa magoli mawili kwa bila. Kante alihamia Chelsea akitoka Leicester kwa ada ya paundi milioni 32 na amekua moja ya wachezaji muhimu sana katika kikosi cha Chelsea kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib