Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Arsenal Vs Manchester CityChelsea VS TottenhamFA CUP SEMI-FINAL DRAW

Droo ya Nusu Fainali FA Cup 2017 tarehe na timu zitazokutana


Baada ya mechi ya jana kumalizika kwa klabu ya Chelsea kuibuka mbabe na kufuzu kwenda hatua inayofuata,usiku huo huo ilichezeshwa droo ya timu zilizofuzu ili kupata mechi za nusu fainali. Chelsea wanatupwa kwa mahasimu wao wa jiji la London Tottenhma huku klabu ya Arsenal wao wakitupwa kwa Manchester City huku mechi hizo zikitarajiwa kuchezwa tarehe 22 na 23 mwezi wa nne.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib