Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Ben GibsonChelseaConteGary CahillManchester CityMiddelsbrough

Middlesbrough: Conte akitulipa paundi milioni 30 tutamuuzia Ben Gibson.


Klabu ya Middlesbrough imemwambia kocha wa Chelsea kua wanahitaji paundi milioni 30 tuu ili wamuuzie beki mwenye uraia wa Uingereza Ben Gibson. Conte binafsi ameshwahi kwenda kuangalia mechi ya Middlesbrough kama sehemu ya kumuangalia mchezji huyo kwa ukaribu pia aliwatuma wasaidizi wake mara kadhaa,Conte anataka kumsajili Gibson ili asaidane na Gary Cahill katika safu ya ulinzi lakini pia klabu ya Manchester City nao wanamfukuzia beki huyo ambaye amekua tegemeo kwa timu yake kwa misimu kadhaa licha ya kua na umri mdogo. Ila Chelsea wanaamini watampata mchezaji huyo kwa bei ya chini zaidi ikiwa klabu hiyo itashindwa kubakia ligi kuu msimu huu kwani wanapigania wasishuke daraja.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib