Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEden HazardEden Hazard win goal of the month

Eden Hazard ashinda tuzo ya goli bora la mwezi wa pili.


Winga wa Chelsea ameongeza tuzo binafsi nyingine katika kabati lake baada ya hivi leo kushinda tuzo ya goli bora la mwezi wa pili. Goli alilofunga dhidi ya Arsenal limsaidia nyota huyo kushinda tuzo hiyo, Hazard alisema hajui tuzo hiyo ataenda kuiweka wapi kwani kabati lake limekwisha jaa akamalizia kwa kusema muda sio mrefu atahitaji nyumba kubwa zaidi kwa ajili ya kuifahidhia tuzo zake kwani ya sasa imejaa na tuzo nyingine amezigawa akisema kuna nyingine amumpatia baba yake aishie Ubelgijinyingine amewapatia watu mbali mbali na nyingine zipo kwenye garage yake ya kulazia magari.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib