Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

FA CupFA Cup 2016/17 QUARTER FINALFa Cup four substitute

Sasa timu zitaweza kufanya sub nne kwenye kombe la FA kama mechi itafika mpaka dakika ya nyongeza.


Chama cha soka nchini Uingereza FA kimeifanyia mabadiliko sheria ya wachezaji wa akiba katika kombe la FA,katika mabadiliko hayo sasa yataziwezesha timu kufanya mabadiliko ya mchezaji wa nne badala ya watatu hii imekuja baada ya chama hicho cha soka kutangaza mwaka huu kombe la FA halitakua na mechi ya pili ya marudiano ikiwa timu zitashindwa kufungana mechi ya kwanza ila sheria hii ya kubadilisha wachezaji inatumika kuanzia mechi za robo fainali tuu na ikiwa mechi imeenda dakika 30 za nyongeza.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib