Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJohn TerryMLSTerry Contract

John Terry hataongezewa mkataba mpya.


Zinaweza kua taarifa mbaya kwa wapenzi wa Chelsea baada ya habari za kuaminika kutoka ndani ya klabu ya Chelsea zinasema kua Chelsea hawatamuongezea mkataba mpya legendary wao John Terry. John Terry ilibidi aondoke Chelsea baada ya msimu wa 2015/2016 kumalizika ila klabu ilipata shinikizo kutoka kwa mashabiki waliotaka klabu imuongezee Terry mkataba mpya kwani alikua ni moja ya wakongwe wachache waliobaki baada ya Lampard na Ashley Cole kuondoka. Inatajwa kua John Terry ataenda kucheza soka katika ligi ya MLS Marekani baada ya kuondoka Chelsea japo kuna klabu nyingi za ligi kuu Uingereza kama West Ham United na Stoke City zinataka kumsajili kwani atakua mchezaji huru. Hata hivyo Chelsea wanafikiria kumpa nafasi kama moja ya makocha klabuni hapo ila kama ataondoka wamepanga kumpa ubalozi wa Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib