Climb the mountains
Antonio ConteChelseaLondon Football AwardsLondon Football Awards 2017N'golo Kante
Kante ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa London huku Conte akishinda tuzo ya kocha bora wa mwaka.
Jana kulikua na tuzo za London Football Awards tuzo ambazo hutolewa kwa wachezaji na makocha waliofanya vizuri katika timu ambazo zipo ndani ya mji wa London tuu na mchezaji wa Chelsea N'golo Kante alipata tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka akiwashinda watu kama Eden Hazard ,Diego Costa na Alexis Sanchez huku tuzo ya kocha bora wa mwaka kwa upande wa London ikichukuliwa na Antonio Conte akibwaga kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment