![]() |
Eden Hazard akiwa na Marina Granovskaia. |
Wakati Real Madrid wakiwa wanakaribia kumnasa Eden Hazard wakati dirisha la usajili litakapo funguliwa Mkurungenzi wa Chelsea Marina Granovskaia ambaye pia ni msaidizi wa Roman Abramovich ameweka wazi kua atajaribu kumshauri Eden Hazard aongeze mkataba mpya na klabu ya Chelsea pia akiahidi kumletea wachezaji wengine nyota kwa ajiri ya kumsaidia. Marina amesema yupo kwenye mpango wa kutengeneza timu ya mastaa hivyo njia moja ya kuitimiza ndoto yake ni kuhakikisha anawalinda mastaa alio nao wasiondoke. Marina Granovskaia amejizolea umaarufu mkubwa kama mwanamke mwenye cheo cha juu kabisa katika klabu kubwa barani ulaya pia amekua kipenzi cha mmiliki wa Chelsea kwani kabla yah apo alikua ni Mkurugenzi katika makampuni tofauti ya Abramovich. Mapema wiki hii gazeti la Marca liliandika kua Eden Hazard amefikia makubaliano ya kujiunga na Real Madrid kilichobaki kwa Real ni kuwalipa Chelsea kiasi cha fedha watachohitaji



No comments:
Post a Comment