Climb the mountains
ChelseaChelsea New KitsChelsea Nike KitsJezi za nikenikeNike Kits
Picha zilizosambaa kwenye mitandao zinadai hizi ndo zitakua jezi mpya za Chelsea msimu ujao.
Msimu huu itakua ni mwisho wa kampuni ya Adidas kutengeneza jezi za Chelsea baada ya takribani miaka 8 au 9, kampuni ya Nike ndio kampuni ilitakayo tengeneza jezi za Chelsea kuanzia msimu ujao baada ya kusaini nao mktaba wenye rekodi ya paundi milion 60 ukiwa ndio mkataba wa pili kwa ukubwa katika mikataba yote ambayo Nike wamesaini na timu za michezo mbali mbali na hizi ni jezi ambazo zimekua zikienea kwenye mitandao mbali mbalin zinaidaiwa kua ni jezi ambazo zitatumiwa na Chelsea msimu ujao.
Tags: Chelsea
, Chelsea New Kits
, Chelsea Nike Kits
, Jezi za nike
, nike
, Nike Kits
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment