Kampuni ya WWE inayoratibu michezo ya mieleka imempa kaptain wa Chelsea John Terry mkanda wa heshima ikiwa ni alama ya kutambua mchango wake katika ulimwengu wa soka la miguu. John Terry alikabidhiwa mkanda huo na mkongwe wa michezo hiyo ambaye kwa sasa amestaafu Triple H,Terry anategemewa kucheza mechi yake ya mwisho katika ligi kuu ya Uingereza leo tarehe 21 May 2017 dhidi ya Sunderland ambapo baada ya mechi hiyo klabu ya Chelsea itakabidhiwa rasmi kombe la ubingwa.





No comments:
Post a Comment