Climb the mountains
Wakati dirisha la usajili linakaribia kufunguliwa barani ulaya na timu zikitazamiwa kufanya mabadiliko kwa lengo la kuboresha vikosi vyao winga wa Chelsea anayeripotiwa kufukuziwa sana na klabu ya Real Madrid Eden Hazard amerudia kusema tena kua hana mpango wa kuondoka Chelsea hivi karibuni,Hazard alisema "msimu ujao tutakua kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa lakini pia tunataka tulibakishe kombe la ligi kuu Chelsea, tunajua itakua ni kazi ngumu lakini tunajua watu wengi wanategemea makubwa kutoka kwetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment