Climb the mountains
Ac MilanAC Milan wants Diego CostaChelseaDiego Costa OutDiego Costa to AC Milan
Baada ya Conte kumuambia hana mpango nae msimu ujao klabu ya AC Milan yaanza mazungumzo na Diego Costa.
Ikiwa ni masaa machache tuu baada ya Costa kusema amepokea ujumbe kutoka kwa kocha wa Chelsea Antonio Conte akimjulisha kua hana mpango nae katika Kikosi chake cha msimu ujao wakala wa Diego Costa amesema klabu ya AC Milan yenye makao yake nchini Italy imeanza mazungumzo na mshambuliaji huyo. Costa alipenda zaidi kurudi katika klabu yake ya zamani Atletico Madrid lakini haitawezekana kwa kua Atletico wamefungiwa kusajili mchezaji yoyote kwa sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment