Climb the mountains
BakayokoChelseaChelsea first signMonacoUsajili wa Chelsea
Chelsea wanakaribia kukamilisha usajili wa kwanza.
Klabu ya Chelsea inakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa As Monaco Bakayoko kwani wameshakubali kulipa ada you paundi milioni 35 ambayo Monaco walikua wakihitaji. Chelsea walianza mazungumzo na Monaco kuhusu kiungo huyo mwezi uliopita lakini walikumbana na ushindani kutoka kwa klabu ya Manchester United, Bakayoko amesema anafurahia kupata nafasi ya kufanya kazi na kocha Conte.
Tags: Bakayoko
, Chelsea
, Chelsea first sign
, Monaco
, Usajili wa Chelsea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment