Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJuventusLeonardo Bonucci

Baada ya kumkosa Van Dijk Chelsea warudi tena kwa beki wa Juventus




Baada ya beki aliyekuwa akiwaniwa na klabu za Chelsea na Manchester united kukubali kujiunga na Liverpool,klabu ya Chelsea imeamua kumfukuzia kwa mara ya pili beki wa Juventus Bonucci. Chelsea walijaribu kumsajili beki huyo mwanzoni mwa msimu lakini walifua dafu baada ya Juventus kutaka kiasi kikubwa cha pesa,kwa sasa Chelsea wanatafuta beki mzoefu kwa ajili ya kuziba nafasi ya mkongwe wao John Terry ambaye ameondoka klabuni hapo baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka zaidi ya 15.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib