Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea loan playersNewcastleTammy Abraham

Chelsea wamtoa Tammy Abraham kwa mkopo safari kwenda timu inayocheza ligi kuu ya Uingereza.


Baada ya Tammy Abraham kufanikiwa kufunga magoli 26 msimu uliopita akiwa kwa mkopo katika klabu ya Bristol City klabu yake ya Chelsea imeamua kumtoa tena kwa mkopo kinda wake machachali kenda klabu ya Newcastle ambayo imerejea ligi kuu ya Uingereza baada ya kushuka daraja msimu uliopita,Chelsea imeamua kumtoa nyota huyo kwenda Newcastle ikiamini Newcastle ni timu yenye wachezaji wenye viwango vya juu na wenye hali ya ushindani.Tammy Abraham amekua akitanywa kua ni moja wa wachezaji nyota wadogo kabisa wenye kiwango cha hali ya juu kuotoka kikosi cha Chelsea cha watoto,Tammy Abraham anatazamiwa  kuja kua mchezaji wa kwanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Chelsea baada ya John Terry,kwani makinda wengi waliocheza walishindwa kupata namba ya kudumu

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib