Climb the mountains
Bayern MunichChelseaChelsea TransferFIFALewandowskiUsajili Chelsea
Chelsea wajitosa kwa Lewandowski,Bayern wawachimba mkwara,watishia kuwashtaki Fifa.
Wakati mazungumzo na Everton juu ya usajili wa Lukaku yakionekana kusua sua klabu ya Chelsea imeamua kumgeukia mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Poland na wapo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 80 kuhakikisha wanamsajili nyota huyo ili akazibe pengo la Diego Costa,Lewandowski ameifungia Bayern Munic magoli 30 katika mechi 33 msimu huu, huku akiifungia jumla ya magoli zaidi ya 77 tangu ajiunge nayo. Mashabiki wengi mitandaoni wameonekana kufurahishwa na habari hizo huku wakidai Chelsea itakua haishikiki kama itamsajili nyota huyo. Hata hivyo klabu ya Bayern Munich imetishia kuwashtaki fifa klabu ya Chelsea kama watajaribu kuongea(kumrubuni) na mchezaji huyo bila ruhusa yao na wao wakidai mchezaji huyo hawatamuuza.
Tags: Bayern Munich
, Chelsea
, Chelsea Transfer
, FIFA
, Lewandowski
, Usajili Chelsea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment