Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Betrand Traorebuy back clauseChelseaLyon

Chelsea wameweka kipengele kitakachowawezesha kumnunua tena Traore kwa bei nafuu.


Wakati Chelsea ikiwa inafanya usajili lakini pia ikiuza wachezaji wengine ila sasa wamekumbuka makosa waliyoyafanya na wameamua kuyarekebisha, mapema jana Traore alikamilisha usajili wake wa kujiunga na klabu ya Lyon kitu ambacho hakikuwafurahisha mashabiki wengi wa Chelsea kwani alikua ni kinda mwenye uwezo mkubwa hivyo mashabiki wengi waliamini nyota huyo angeweza kufanya vizuri kama angepewa nafasi hapo hapo Chelsea,hata hivyo klabu ya Chelsea iliamua kumuuza nyota huyo ili kumpa uhuru zaidi wa kukuza kipaji chake hata hivyo wameweka kipengele kitakacho wapatia wao kipaumbele cha kumsajili kwanza na pia watamsajili kwa bei nafuu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib