Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelseachelsea tanzaniaConteSevilaT.ZUsajili ulayaVitolo

Chelsea wanafikiria kutuma ofa ya paundi milioni 35 kumsajili winga wa Sevila Vitolo.


Bosi wa Chelsea Antonio Conte amelenga kuleta wachezaji wenye ubora wa juu kwenye kikosi chake kwa ajili ya kuongeza ushindani msimu ujao hasa anapoelekea kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya (UEFA),inasemekana ameiambia bodi ya usajili ya Chelsea itume ofa Sevila kuomba kumsaili winga huyo ambayo ni paundi milioni 35 tuu. Winga huyo mwenye miaka 27 anatumia mguu wa kulia licha ya kua anacheza sana upande wa kushoto na pia anaimudu vizuri nafasi ya mshambuliaji(Foward) kama Chelsea itafanikiwa kumsajili basi itakua imempunguzia mzigo Eden Hazard hasa msimu ujao ambapo klabu inaelekea kucheza ligi ya mabingwa.

Like page yetu ya Facebook HAPA!!

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib