Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio RudigerAs RomaChelseaChelsea Sign RudigerChelsea wamnasa Rudigernike

Chelsea wapo hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Antonio Rudiger.


Klabu ya Chelsea inaendelea na usajili wake wa kimya kimya,kwani kwa sasa inakaribia kukamilisha hatua zote za mwisho kwa ajili ya kumsajili beki wa AS Roma na timu ya taifa ya Ujerumani Antonio Rudiger. Nyota huyo ambaye ameshatua London kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake pamoja na kufanya vipimo vya afya,Manchester City walikua wakimfukuzia nyota huyo wakijalibu kumshawishi aachane na Chelsea lakini juhudi zao hazijazaa matunda ,Rudiger amekua akifukuziwa na Conte kwa muda mrefu pamoja na wachezaji Bonucci Van Dijk na Jarome Boateng lakini juhudi zake zimefanikiwa kumsaini Rudiger,inasemekana Chelsea wamemsajili nyota huyo kwa ada ya paundi milioni 35.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib