Climb the mountains
ChelseaManchester CityWilly Caballero
Chelsea wanakaribia kukamilisha usajili wa Willy Caballero,kufanya vipimo vya afya wiki hii.
Klabu ya Chelsea inakaribia kukamilisha usajili wa kipa wa Manchester City Caballero ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Asmiri Begovic aliyeondoka Chelsea na kujiunga na klabu ya Bournemouth. Caballero anatazamwa kufanya vipimo vya afya mapema wiki hii laki usajiliwake utachelewa kutangazwa mpaka tarehe moja mwezi wa saba siku ambayo Chelsea watakua wanaanza rasmi udhamini na kampuni ya Nike,kipa Huyo raia wa Argentina anatazamiwa kuwa kipa wa akiba Chelsea pia amesajiliwa ikitokea Thibaut Courtois atakataa kuongeza mkataba mpya na kujiunga na Real Madrid.
Tags: Chelsea
, Manchester City
, Willy Caballero
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment