Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

adidasChelseanike

Sababu ya Chelsea kutotangaza usajili wowote mpaka sasa hivi.


Habari ndani ya klabu ya Chelsea zinasema mpaka sasa Chelsea wameshakamilisha usajili wa wachezaji wawil,Bakayoko na golikipa Willy Caballero. Licha ya kukamilisha usajili wa wachezaji hao Chelsea hawajangaza hadharani kama ilivyozoeleka na sababu inayowafanya wasitangaze usajili wowote kwa sasa ni kwa ajili ya kusubiri mkataba wa  mdhamini wao mpya wa nguo za michezo Nike utapoanza rasmi tarehe moja mwezi wa saba,hivyo usajili wowote ambao umeshakamilika utatangazwa tarehe moja mwezi wa saba ukienda sambamba na uzinduzi wa jezi mpya za msimu ujao. Mkataba wa Chelsea na Adidas unamalizika mwisho wa mwezi huu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib