Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

BelgiumChelseaEden HazardHazard injured

Eden Hazard aumia Ubelgiji, kuna uwezekano atakosa mechi za mwanzo wa msimu.


Winga wa klabu ya Chelsea ambaye amekua na kiwango kizuri msimu huu akifanikiwa kuifungia Chelsea magoli 17 na kuisaidia kuchukua ligi kuu la Uingereza na kufika fainali ya kombe la FA amepata pigo baada ya kuumia kifundo cha mguu (Ankle) akiwa kwenye mazoezi na timu yake ya taifa. Kutokana na majeruhi hayo Eden Hazard hatacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Czech Republic na pia atakosa mechi ya kufuzu kombe la dunia dhini ya Estonia kwani inatazamiwa atakaa nje ya uwanja kwa wiki 8 akiuguza majeraha hayo pia anatazamiwa kukosa baadhi ya mechi wakati msimu mpya utakapoanza mwezi wa 8.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib