Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Klabu ya Lyon yenye makazi yake nchini Ufaransa leo wamekamilisha rasmi usajili wa kinda wa Chelsea Betrand Traore kwa ada ya paundi milioni 20,mapema wiki hii Rais wa klabu ya Lyon alisema klabu yake mefikia makubaliano na mchezaji Traore. Traore alikua ni moja ya makinda wa Chelsea waliokua wakifanya vizuri na alikua akitazamiwa kuichezea Chelsea siku za usoni,mashabiki wengi wa Chelsea wameonyesha kusikitishwa na kuuzwa kwa mchezaji huyo huku wakifananisha jinsi walivyowauza wachezaji wao wazuri na wakaenda kung'aa zaidi na kupelekea klabu kujaribu kuwasajili kwa pesa kubwa. Tunamtakia Betrand Traore kila la Kheri katika klabu yake mpya.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib