Climb the mountains
AjaxBetrand TraoreBurkina FasoChelseaLyonTraore
Rais wa Lyon amesema wanakaribia kumsajili kinda wa Chelsea Betrand Traore.
Rais wa klabu ya Lyon Jean-Michel Aulas amethibitisha klabu yake inakaribia kukamilisha usajili wa kinda wa Chelsea na Burkina Faso Betrand Traore kwa ada ya paundi milioni 16.6,Traore aliichezea klabu ya Ajax kwa mkopo msimu uliopita na kufanikiwa kutinga fainali ya Europa ila Manchester United waliwafunga na kuibuka mabingwa,akiwa Ajax alifunga magoli 13 msimu mzima.Nyota huyo anataka kucheza mpira wa kikosi cha kwanza zaidi hivyo ameona litakua chaguo sahihi kwake kwenda klabu nyingine.
Like page yetu ya Facebook HAPA!
Tags: Ajax
, Betrand Traore
, Burkina Faso
, Chelsea
, Lyon
, Traore
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment