Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya mapema leo hii hatimaye Chelsea wametangaza rasmi wamemsajili Antonio Rudiger kutoka AS Roma ataitumikia klabu hiyo baada ya kusaini mkataba wa miaka 5 na atavaa jezi namba 2,Chelsea wamemsajili nyota huyo kwa ada ya paundi milioni 31 hata hivyo kuna vipengele vinavyoweza kuipandisha mpaka kufikia paundi milioni 35.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib