Climb the mountains
BakayokoChelseaChelsea wamsajili BakayokoMonaco
Bakayoko rasmi Chelsea,asaini mkataba wa miaka mitano.
Baada ya kuwapatia wasiwasi mashabiki wa Chelsea kua huenda dili la kiungo Bakayoko lisikamilike hatimaye leo Chelsea wametangaza kukamilisha usajili wa Bakayoko kutoka klabu ya Monaco na wamempatia mkataba wa miaka mitano. Habari zaidi itafuata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment