Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ArsenalChelseaChelsea Tour 2017ChinaDiego CostaInter MilanJuventusNemanja maticSingapore

Chelsea kuwaacha Costa na Matic wanapoenda China na Singapore ili waakamilishe utaratibu wa kuhamia klabu nyingine.


Tovuti ya Skysport wameripoti kua Chelsea inategemea kwenda kwenye tour yao bila Costa na kiungo Nemanja Matic sababu kubwa ni ili wachezaji hao wawili wakamilishe utaratibu wa kuhama klabu. Costa ambaye alipewa ruhusa ya kutokuhudhuria mazoezi ya Chelsea wiki nzima wakati klabu ikiendelea kuongea na timu zinazotaka kumnunua wakati Nemanja Matic alirudi pamoja na wachezaji wengine kuanza mazoezi ya mwanzo wa msimu ila kwa sasa wanategemea kumuuza Matic mapema wiki inayokuja huku timu kama Manchester United,Arsenal na Juventus zikifukuzia saini yake. Chelsea wanategemea kwenda kwenye tour nchi ya China na Singapore ambako pia watacheza mechi za kirafiki na klabu za Arsenal,Bayern Munich pamoja na  Inter Milan.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib