Climb the mountains
Alvaro MorataAubameyangBelottiChelseaDortmund BorussiaPierre-Emerick AubameyangTransfer windowUsajili wa Chelsea
Chelsea waambiwa watowe paundi milioni 70 kwa Aubameyang,Conte awaambia bodi wamletee Morata au Belotti kwanza klaba ya kumsajili Aubameyang
Klabu ya Borussia Dortmund imewapa ofa klabu ya Chelsea ya kumsajili nyota wao Aubameyang kwa ada ya paundi milioni 70,Aubameyang alimewaambia Dortmund kua anataka kuondoka klabuni hapo kwenye dirisha hili la usajili. Nyota huyo raia wa Gabon alianza maisha yake ya soka katika klabu ya AC Milan ambako alishindwa kucheza mechi hata moja kwani alikua akitolewa kwa mkpo kwenda timu nyingine alijiunga na Dortmund mwaka 2013 akitokea timu ya Saint-Etienne,tangu ajiunge na Dortmund amefanikiwa kuifungia magoli 85 katika mechi 128.Hata hivyo Aubameyang haonekani kua chaguo la kocha wa Chelsea Antonio Conte ambaye bado anashinikiza klabu imletee mshambuliaji wa Madrid ALvaro Morata na kama wakimkosa basi wamletee Belotti na kama ikitokea wamewakosa wote basi ndio waangalie uwezekano wa kumletea Aubameyang.Kwa sasa Chelsea inafany jitihada za kupata mshambuliaji wa kuiongoza timu msimu ujao baada ya kocha kusema hamuhitaji tena Diego Costa kwenye kikosi chake msimu ujao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment