Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Ruben Loftus-Cheek amekua usajili wa kwanza wa kocha Frank De Boer tangu aanze kuifundisha klabu ya Crystal Palace mwezi uliopita. Loftus-Cheek amejiunga na Crystal kwa mkopo wa msimu moja na imekua mara yake ya kwanza kutoka nje ya Chelsea kwani Ruben Loftus-Cheek ameitumikia Chelsea tangu alivyojiunga nayo akiwa na umri wa miaka nane tuu,msimu uliopita alifanikiwa kucheza mechi sita katika kikosi cha kwanza na alikua moja ya wachezaji waliopewa medali ya ushindi wa ligi kuu ya Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib