Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea Summer transferInter MilanJose MourihnoJuventusManchester unitedNemanja maticTransfer window

Juventus,Inter MIlan wapigana vikumbo kumsajili Matic wakati Chelsea wakikwepa kumuuza kwenda Man United.


Klabu za Italy Juventus na Inter Milan zimeingia vitani kuipata saini ya nyota wa Chelsea Nemanja Matic ambaye klabu inataka kumuuza kwa ada ya paundi milioni 40,Manchester United walikua wakipewa kipaumbele cha kumsajili Matic ila kwa sasa Chelsea wanakwepa kumuuza nyota huyo kwenda Manchester baada ya kuwatibulia kwenye dili lao la Lukaku hata hivyo habari za chini zinasema Nemanja Matic anapendelea zaidi kujiunga na Manchester United ili akakutane na kocha wake wa zamani Jose Mourihno na kwa ajili ya masilahi bonafsi kwani klabu nyingi za Italy huwa zinashindwa kutoa mishahara mikubwa na mkataba mrefu kwa wachezaji wenye umri wa juu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib