Climb the mountains
ChelseaEvertonlukakuManchester unitedMino Raiola
Chelsea waweka dau sawa na Manchester United kumsajili Lukaku.
Wakati ikioneonekana kua Manchester United wameshashinda katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku imekua ngumu kwa klabu ya Chelsea kukubali kushindwa na sasa wameamua kutma ofa sawa na ya Manchester United ya paundi milioni 75 ili kumsajili nyota wao wa zamani ambaye walimuuza kwa takribani paundi milioni 30 tuu,pia Chelsea wamemuahidi kumpa Lukaku mshahara sawa na alioahidiwa na Manchester United lakini hapo tayari kumlipa wakala wake Mino Raiola, Mino Raiola anataka alipwe paundi milioni 12 kama sehemu ya kufanikisha uhamisho wa mteja wake.
Tags: Chelsea
, Everton
, lukaku
, Manchester united
, Mino Raiola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment