Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio RudigerAs RomaChelseaRudiger in London

Rudiger atua London kukamilisha uhamisho wake kwenda Chelsea.


Wakati mashabiki wa Chelsea wakionyeshwa kuchukizwa na kitendo cha bodi yao ya usajili kushindwa kumsajili Lukaku na kupelekea kuchukuliwa na mahasimu wao Manchester United,punde  habari njema zitaanza kusikikaka masikioni mwao baada ya nyota waliyekua wakimfukuzia Mjerumani Antinio Rudiger kutua London kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake. Rudiger atafanyiwa vipomo vya afya leo Jumapili pamoja na kusaini mkataba wa kuitumikia Chelsea ambapo inatazamiwa Chelsea watampa mkataba wa miaka mitano,usajili wake unategewa kutangazwa leo jioni au kesho mchana.Chelsea wamemsajili nyota huyo kwa ada ya paundi milioni 31 lakini kuna vipengele ambavyo vinaweza kufanya thamani ya ada yake kupanda mpaka paundi milioni 35.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib