Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Baada ya kusua sua kwa usajili wake Tiemoue Bakayoko hata kupelekea baadhi ya klabu kujitosa kumsajili nyota huyo na kuwapa hofu mashabiki wa Chelsea huenda wakamkosa kama walivyomkosa Lukaku hatimaye leo siku ya ijumaa tarehe 14/07/2017 Bakayoko atafanyiwa vipimo vya afya katika klabu ya Chelsea ikiwa ni hatua ya karibu kabisa kukamilisha usajili wake.Mashabiki wengi wa Chelsea hawakufurahishwa na klabu yao kushindwa kusajili wachezaji kwa wakati na kupelekea kuibiwa wachezaji na timu pinzani.Bakayoko amekubali kujiunga na Chelsea baada ya kukataa ofa kutoka PSG na Manchester United.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib